SmartBiashara POS ni mfumo bora wa mauzo kwa Hardware, Supermarket, Maduka ya Dawa, Vyombo, Chakula, Stationary na Viwanda. Pokea ripoti za faida na mauzo kupitia WhatsApp — Tanzania nzima na nchi jirani.
Gusa aina ya biashara yako, tutakupendekezea mpangilio bora wa SmartBiashara POS kwa WhatsApp.
Gusa moja kutuma ujumbe WhatsApp moja kwa moja.
Wateja Walioridhika
Miamala kwa Siku
Msaada kwa Wateja
SmartBiashara POS imeundwa kukupa uhuru wa kusimamia biashara yako bila mipaka. Data zako zinasawazishwa moja kwa moja ili uwe na udhibiti kamili popote ulipo.
Dhibiti biashara yako ukiwa popote — scanning, ripoti za mauzo na taarifa za AI kwenye simu yako.
Download Android AppToleo rasmi la Cashier — bora kwa matumizi ya duka, linasupport risiti za thermal na barcode scanners.
Fuatilia ripoti zako kupitia browser bila kuhitaji kupakua chochote.
Open Web Portal
Kila unachohitaji kusimamia biashara yako kipo sehemu moja.
Tengeneza na chapisha barcode. Scan ukitumia simu au mashine kufanya mauzo (POS) kwa sekunde chache.
Pata ripoti ya mauzo, faida na hasara kupitia WhatsApp kila siku. Tuma risiti na invoices kwa wateja moja kwa moja.
Pokea muhtasari wa mauzo ya siku moja kwa moja kwenye SMS ya simu yako, hata kama huna data au WhatsApp.
Rekodi madeni ya wateja na malipo ya awamu, jua nani anadaiwa kiasi gani, na tuma vikumbusho kila siku kupitia WhatsApp au SMS.
Rekodi matumizi ya biashara (kodi, umeme, usafiri, mishahara n.k.) ili ujue faida halisi baada ya gharama zote.
Toa risiti ya thermal dukani au tuma risiti ya kidijitali kwa mteja kupitia WhatsApp, kila mauzo yakiwa na kumbukumbu.
Tengeneza Invoice na Proforma kwa muonekano wa kitaalamu kwa ajili ya makampuni na wateja wakubwa.
Rekodi manunuzi kutoka kwa wasambazaji, ongeza stock moja kwa moja na fuatilia madeni unayodaiwa na wasambazaji.
Simamia stoo yako kwa usahihi. Mfumo unakutaarifu mapema bidhaa zinapokaribia kuisha.
Rahisisha malipo kwa kutengeneza Control Numbers kwa ajili ya miamala ya kiserikali na ufuatiliaji wa malipo.
Simamia matawi zaidi ya moja kwenye akaunti moja. Jua duka gani linafanya vizuri ukiwa popote.
Pata muhtasari wa mienendo ya biashara yako. Jua ni bidhaa gani inatoka zaidi na gani inaleta hasara.
Fungua duka lako mtandaoni, onyesha bidhaa zako na pokea oda kutoka kwa wateja popote walipo, huku stock ikisasishwa moja kwa moja na mfumo wako wa POS.
Data zako zimehifadhiwa kwenye Cloud kwa usalama wa 100%. Hutapoteza kumbukumbu hata simu ikipotea.
EAN-13 Valid
Usiishie kuuza mtaani tu. Mfumo wetu unakusaidia kuziandaa bidhaa zako kwa ajili ya maduka makubwa (Modern Trade).
Jinsi mfumo unavyoonekana ukiwa kwenye vifaa tofauti.
Mfumo wetu umeratibiwa kukuunganisha na wateja wako kwa sekunde. Wateja wanapokea risiti za kidijitali WhatsApp na wewe unapata ripoti yako ya jioni kiganjani.
Jaribu Mfumo Sasa
Chagua kifurushi kinachokufaa kulingana na mahitaji yako ya usimamizi.
Kwa duka moja linaloanza.
WhatsApp automation na matawi mengi.
Kwa mtandao wa hadi matawi 5.
Kwa mtandao wa hadi matawi 10, staff permissions na payroll.
Kwa mahitaji maalum ya kiwanda au kampuni kubwa.
Bado una swali ambalo halipo hapa?
Tuulize WhatsApp“Tangu nimeanza kutumia mfumo huu wa SmartBiashara, nimepunguza upotevu wa bidhaa dukani kwangu kwa asilimia kubwa sana. Ripoti za WhatsApp zinanisaidia kujua mauzo hata nikiwa mbali.”
“Mfumo huu ni rahisi sana kutumia, hata wafanyakazi wangu walizoea ndani ya siku moja tu. Huduma kwa wateja ya Ephamarcy Software ni ya kiwango cha juu sana.”
“Nilitafuta mfumo unaoweza kusimamia matawi yangu yote mawili kwa wakati mmoja bila usumbufu, SmartBiashara imetatua hilo. Sasa naona ripoti za kila tawi kwa simu yangu.”
Wafanyabiashara wengi Tanzania wanapotafuta mfumo bora wa mauzo au mfumo mzuri wa mauzo, wanahitaji suluhisho moja linaloweza kusimamia POS, stoo, madeni na wafanyakazi kwa wakati mmoja. SmartBiashara POS imejengwa hasa kwa ajili ya wafanyabiashara wa Tanzania — kuanzia Arusha, Dar es Salaam, Mwanza, Dodoma hadi mikoa yote — ikiwa na msaada wa lugha ya Kiswahili, malipo ya M-Pesa/Tigo Pesa/Airtel Money, na ripoti za moja kwa moja kupitia WhatsApp.
Kila oda inapata namba ya kumbukumbu (reference). Lipa kiasi kamili, tutumie ID ya muamala kutoka kwenye SMS yako, na tunaanza kazi papo hapo.
E-Phamarcy Software Company Ltd ni kampuni ya Kitanzania ya teknolojia iliyoko Sombetini, Arusha. Tunatengeneza SmartBiashara POS pamoja na mifumo mingine ya biashara, tovuti na huduma za wingi za SMS.
Kwa sababu timu moja ndiyo inayotengeneza, kuhudumia na kutoa msaada wa mfumo huu, unapata mwendelezo mmoja kutoka siku ya kwanza ya usanidi hadi matumizi ya kila siku.